
MERIDIANBET WAINGIA LIGI KUU, WAMWAGA PESA KWA KMC!
Wiki imeanza vyema zaidi kwa Klabu ya soka ya KMC, ambao wamepata mdhamini mpya, ikiwa ni neema kwa klabu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC Tanzania. KMC wameingia rasmi mkataba wa udhamini na klabu ya Meridianbet, ambao ni mabingwa na Kampuni ya kwanza ya ubashiri Tanzania. KMC imekuwa ni klabu inayokua kwa kasi tangu kuanzishwa…