
KOCHA MTIBWA ATAJA SABABU ZA KUPOTEZA MECHI TATU
ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Ihefu amesema kuwa makosa ambayeo wameyafanya kwenye mechi tatu mfululizo yamewafanya waadhibiwe kwa kufungwa. Katwila amebainisha kwamba jambo ambalo halikuwa kwenye mpango waoni kupoteza mechi na hakuna mchezaji walakiongozi ambaye anapenda iwe hivyo. “Imetokea tumepoteza kwenye mechi zetu tatu hili ni jambo baya na hakuna ambaye anapenda kuona inakuwa hivyo…