VIDEO:NABI ATAJA MAKOSA YA WACHEZAJI WAKE, JOB, DJUMA

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi leo ana kiarua cha kukiongoza kikosi hicho kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Zala FC akiwa ametoka kulaimisha sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya Azam FC kwenye mchezo wa ligi ambapo alibainisha kuwa wachezaji wake walifanya makosa na Dickoson Job alicheza nafasi ambayo haikuwa yake pamoja…

Read More

SIMBA KUIKABILI BIG BULLETS

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema wananafasi kubwa ya kushinda kwenye mchezo dhidi ya Big Bullets ambao ni wa Ligi ya Mabingwa Afrika unaotarajiwa kuchezwa nchini Malawi. Mchezo wa leo unakuwa ni wa kwanza kwa Mgunda kukaa benchi baada ya kuibuka ndani ya Simba akitokea Klau ya Coastal Union. “Tunajua kwamba mchezo wetu utakuwa…

Read More

YANGA KAMILI KUIVAA ZALAN FC KWA MKAPA

 CEDRICK Kaze, Kocha Msaidizi wa Yanga ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Zalan FC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, leo Septemba 10,2022. Yanga inaingia katika mashindano haya ikiwa na kumbukumbu ya kutolewa katika hatua ya awali michuano hiyo msimu uliopita wa 2021/22. Ni Klabu ya…

Read More

GEITA NDANI YA SUDAN, MPOLE ABAKI DAR

 GEITA Gold imewasili nchini Sudan kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Hilal Alsahiri utakaochezwa kesho Jumapili. Timu hiyo inanolewa na Kocha Mkuu, Felix Minziro inaipeperusha bendera ya Tanzania kwenye anga za kimataifa. Mshambuliaji wa timu hiyo George Mpole alipata maumivu kwenye maandalizi ya mwisho kabla…

Read More

NABI AFICHUA SABABU YA KUTOFUNGWA DK 3,600

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amefichua kuwa kutopoteza kwenye mechi za ligi kwa muda mrefu kunatokana na jitihada za wachezaji kusaka ushindi. Ni mechi 40 za ligi Nabi kaongoza bila kuonja ladha ya kupoteza mchezo ikiwa ni dakika 3,600 zimeyeyuka.  Aprili 25,2021 ilikuwa ni mara ya mwisho Yanga kufungwa ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0…

Read More

RATIBA ZA MECHI KUBADILISHWA ENGLAND

RATIBA za mechi za Ligi Kuu England zinaweza kubadilika kutokana na kutangulia mbele za haki kwa Queens Elizabeth.. Miongoni mwa michezo ambayo ilipaswa kuchezwa Ijumaa ya Ligi Kuu England ambao ni Burnley v Norwich, Tnanmere v Stocport imeweza kughairishwa kutokana na kutangulia mbele za haki kwa Queen Elizabeth. Hii yote inafanywa kutokana na heshima ya…

Read More

KOCHA MPYA CHELSEA ASAINI DILI REFU

THOMAS Tuchel alifutwa kazi ndani ya Klabu ya Chelsea baada ya kupoteza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya Jumanne kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Dinamo Zagreb. Mbali na kichapo hicho pia Tuchel hakuwa na mwendo mzuri kwenye mechi za Ligi Kuu England msimu wa 2022/23. Ni Graham Potter aliyekuwa Kocha Mkuu wa Brighton ametangazwa…

Read More

NAMUNGO FC WAREJEA NYUMBANI,UWANJA WA KISASA BALAA

UWANJA wa Majaliwa sasa utatumika kwa mechi za nyumbani kwa Klabu ya Namungo baada ya kufanyiwa ambayo yalichukua muda mrefu. Wakati wa maboresho hayo Namungo FC ilikuwa inatumia Uwanja wa Ilulu, Lindi na ulipofungiwa ili ufanyiwe maboresho walikuwa wanatumia Uwanja wa Mkapa na Uhuru kwa mechi za nyumbani. Mazoezi yao ya kwanza ilikuwa ni Septemba…

Read More

MANCHESTER UNITED YAAMBULIA MAUMIVU

 BAO pekee la ushindi kwa Real Sociedad dhidi ya Manchester United lilipachikwa dakika ya 59 kwa mkwaju wa penalti na mtupiaji alikuwa ni Brains Mendez kwenye mchezo wa Europa, Uwanja wa Old Trafford. Kwenye mchezo huo ni mashuti 15 yalipigwa kuelekea lango la Real Sociedad huku matatu pekee yakilenga lango. Real Sociedad wao walipiga jumla…

Read More

KOCHA MPYA SIMBA KUANZA NA WAMALAWI KIMATAIFA

 JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa anaamini watafanya vizuri kwenye mechi yao dhidi ya Big Bullets inayotarajiwa kuchezwa kesho Jumamosi nchini Malawi ukiwa ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Mgunda amekabidhiwa mikoba kwa muda ndani ya Simba ambayo kwa sasa inatafuta kocha mpya baada ya kuachana na Zoran Maki aliyechukua mikoba ya…

Read More