
VIDEO:MIKAKATI YA NABI HATARI
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amebainisha kuwa mipango yao kwa ajili ya mechi zijazo ni imara na pongezi kwa wachezaji kufanikiwa kupata pointi tatu mbele ya Mtibwa Sugar
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amebainisha kuwa mipango yao kwa ajili ya mechi zijazo ni imara na pongezi kwa wachezaji kufanikiwa kupata pointi tatu mbele ya Mtibwa Sugar
FAROUKH Shikalo, kipa namba moja wa Mtibwa Sugar ameweka wazi kuwa kuna kazi ya kufanya ili kupata matokeo kwenye mechi zao ambazo watakuwa wanacheza
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, Geita Gold wamewashukuru mashabiki kwa sapoti yao licha ya kupoteza mchezo wa kwanza kimataifa kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Hilal Al Sahil. Kocha Mkuu wa Geita Gold, Felix Minziro aliongoza kikosi hicho kwenye mchezo huo na sasa ni mahesabu kuelekea mchezo wa marudio unaotarajiwa kuchezwa Uwanja…
THOBIAS Kifaru, Ofisa Habari wa Mtiwa Sugar amesema kufungwa na Yanga imekuwa ni siku mbaya kwao na wachezaji walikuwa wazito
IMEELEZWA kuwa mabosi wa Simba wapo chimbo kwa sasa kumtafuta mbadala wa beki wa kazi, Shomari Kapombe
MZEE wa Utopolo wa Yanga anakera, huyu hapa tambo zake baada ya ushindi wa mabao 3-0 waliopata Yanga dhidi ya Mtibwa Sugar, Uwanja wa Mkapa
LIGI Kuu Tanzania Bara leo Septemba 14 inaendelea kwa timu kusaka pointi tatu muhimu. Tanzania Prisons wataikaribisha Simba kwenye mchezo wao wa ligi. Ikumbukwe kwamba Tanzania Prisons ililazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Mbeya City na Simba ililazimisha sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya KMC. Benjamin Asukile nyota wa Tanzania Prisons ameweka…
AZAM FC imefikisha pointi 8 kibindoni na kuwa nafasi ya pili kwenye msimamo baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbeya City. Ni bao la Idris Mbombo ambaye alipachika dakika ya 60 kwenye mchezo huo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Sokoine. Ni bao la kwanza kwa Mbombo msimu wa 2022/23 ambaye alikamilisha msimu wa…
HAIJAWAHI tokea, ujenzi Uwanja wa Yanga noma, Mgunda hatujamaliza ndani ya Championi Jumatano
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya Tanzania Prisons huku akiwataja nyota ambao wataukosa mchezo huo ikiwa ni pamoja na Sadio Kanoute ambaye anaumwa, Shomari Kapombe
WACHEZAJI wa Yanga leo wameshinda mabao 3-0 dhidi ya Mtibwa Sugar, tazama ambacho wamekifanya baada ya kukamilisha kazi ya kusaka pointi tatu
BEKI wa kati wa Simba, Joash Onyango ni miongoni mwa nyota wa kikosi hicho ambao wamewasili salama Mbeya, kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons unaotarajiwa kuchezwa kesho, Septemba 14, Uwanja wa Sokoine Mbeya. Wengine ni pamoja na Aishi Manula ambaye leo ni kumbukizi yake ya kuletwa duniani, Clatous Chama,…
WAKATI Yanga ikishinda mabao 3-0 dhidi ya Mtibwa Sugar ni mabao ya Djuma Shaban dakika ya 32, Fiston Mayele dakika ya 37 na Aziz KI dakika ya 90 yalitosha kuipa pointi tatu Yanga inayofikisha pointi 10 ikiwa nafasi ya kwanza kwenye msimamo. Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema kuwa wachezaji walicheza kwa umakini kipindi…
LEO Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Honour Janza ametangaza kikosi cha Stars ambacho kinatarajiwa kuingia kambini Jumamosi. Ni kwa ajili ya maandalizi ya mechi ya kirafiki iliyo kwenye kalenda ya FIFA dhidi ya Libya. Wachezaji hao ni Aishi Manula, (Simba) Beno Kakolanya, (Simba),Said Kipao, (Kagera Sugar),Kibwana Shomari, (Yanga), Datius Peter, (Kagera Sugar),…
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba ameanza kazi yake na kuanza na rekodi 7 akiwa benchi kwenye mchezo dhidi ya Big Bullets uliochezwa Uwanja wa Bingu. Mgunda ni kocha wa muda akichukua mikoba ya Zoran Maki aliyeiongoza Simba kwenye mechi mbili za ligi na rekodi zake zipo namna hii:- Wazawa na wageni kukiwasha Mgunda alishuhudia…
MASTAA wa Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Denis Lavagne raia wa Ufaransa ambaye amepewa dili la mwaka mmoja kuiona timu hiyo wakiongozwa na mshambuliaji Prince Dube wamepewa kazi ngumu kufunga kila nafasi. Azam FC baada ya kucheza mechi tatu, safu yake ya ushambuliaji imetupia mabao matano na kinara ni kiungo Tepsi Evance mwenye mabao…
THOBIAS Kifaru, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar amesema wanahitaji kupata ushind kwenye mechi zote ambazo watacheza ikiwa ni pamoja na mchezo wao dhidi ya Yanga. Mtibwa Sugar imeanza msimu kwa mwendo wake ikiwa imecheza mechi tatu, ushindi ni kwenye mechi mbili ina sare moja pointi zake kibindoni ni 7. Kifaru amesema kuwa wanatambua wana kazi…