
USHINDI UWE NA MWENDELEZO KIMATAIFA KWA TIMU ZA TAIFA
TABASAMU limeanza kurejea taratibu aada ya timu zetu za Taifa kupata matokeo mazuri kwenye mechi za mwanzo za kirafiki hili ni jambo ambalo linahitaji kuwa na mwendelezo. Wakiwa Libya, Taifa Stars walipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Uganda na Serengeti Boys pia kwenye mchezo wao wa kirafiki walishinda bao 1-0 dhidi ya Sudan U…