
AJIBU AACHWA DAR AZAM IKIWAFUATA TANZANIA PRISONS
LEO Septemba 29,2022 msafara wa Azam FC ukitarajiwa kuelekea Mbeya kwenye maandalizi ya mwisho ya mchezo wao dhidi ya Tanzania Prisons, kiungo wao Ibrahim Ajibu ni miongoni mwa watakaoaki Dar. Azam FC inarejea kwa mara nyingine Mbeya kwenye mchezo wa ligi baada ya ule uliopita kucheza dhidi ya Mbeya City na kuambulia ushindi wa bao…