
WAJELAJELA WASHINDA MBELE YA AZAM FC
AZAM FC imeyeyusha pointi tatu kwa mara ya kwanza msimu wa 2022/23 kwa kukubali kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons. Mchezo huo wa ligi ulichezwa Uwanja wa Sokoine ambapo dakika 45 za mwanzo ngoma ilikuwa ngumu kwa timu zote mbili. Bao la ushindi lilifungwa na mshambuliaji Jeremia Juma ambaye alitumia pasi ya Ezikiel…