
KIUNGO MGUMU AMPA TABASAMU MGUNDA SIMBA
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kurejea kwa kiungo wake wa kazi Sadio Kanoute kwenye kikosi hicho kunaongeza uwanda mkubwa wa kuchagua viungo ambao anawahitaji. Kanoute raia wa Mali ambaye ni kiungo mgumu kwenye eneo la ukabaji sifa yake kuu ni kutembeza mikato ya kimyakimya alikosekana kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Tanzania…