
KAMATA MECHI ZA UCL ZENYE ODDS KUBWA KUTOKA MERIDIANBET
Usiku wa deni hakawii kukucha, yes ukisema hivyo utakuwa hujakosea kabisa ni usiku wa deni kwenye Ligi ya Mabingwa wiki hii, ni mechi za marudiano kutafuta kufuzu hatua ya robo fainali. Mbungi litaanza usiku wa Jumanne ambapo macho ya wengi yatakuwa kwenye runinga, ni pale ambapo AC Milan watakapo wakaribisha Chelsea kutoka London, kwenye…