
WAWAKILI WA TANZANIA NA HATMA ZAO NDANI YA DAKIKA 90
LEO kwenye anga za kimataifa kwa wawakilishi wa Tanzania ni dakika90 za maamuzi kwa timu shiriki ambazo ni Azam FC, Yanga na Simba kwenye hatua ambazo wapo. Oktoba 16, 2022 miamba yote ya soka nchini inatarajiwa kushuka uwanjani katika kutetea na kujihakikishia ushiriki wao katika hatua ya makundi ya michuano ya kimataifa barani Afrika. Azam…