
WALETENI YANGA SASA, AZAM FC ILIBAKI KIDOGO
WALETENI Yanga sasa, Yanga yavamiwa na wanajeshi hotelini Sudan, Azam ilibaki kidogo tu, ndani ya Championi Jumatatu.
WALETENI Yanga sasa, Yanga yavamiwa na wanajeshi hotelini Sudan, Azam ilibaki kidogo tu, ndani ya Championi Jumatatu.
BAADA ya kupoteza mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Al Hilal, kikosi cha Yanga leo kimeanza safari ya kurejea Tanzania. Msafara huo ambao uliongozana na viongozi utapitia Addis Ababa Ethiopia. Bado Yanga inabaki kwenye anga za kimataifa kwa kuwa imeangukia kwenye Kombe la Shirikisho Afrka. Inafanya zibaki timu…
MPANGO wa Azam FC kwenye mechi za kimataifa umegotea Uwanja wa Azam Complex licha ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Al Khadar ya Libya. Timu hiyo imeondolewa kwenye Kombe la Shirikisho kwa jumla ya mabao 3-2 kwa kuwa mchezo wa kwanza uliochezwa ugenini Azam FC ilipoteza kwa kufungwa mabao 3-0 na jana ilikuwa inahitaji…
MOHAMED Salah mshambuliaji wa Liverpool amefunga bao pekee la ushindi kwenye mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya Man City. Ni bonge moja ya mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa ambapo dakika 45 vigogo hao walikamilisha bila kufungana. Salah alipachika bao hilo dakika ya 76 lilitosha kuipa pointi tatu muhimu Liverpool. Sasa ni pointi 13 wanafikisha…
KIKOSI cha Yanga kimekwama kutinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika na sasa nguvu zao ni kwenye Kombe la Shirikisho. Kwenye mchezo wa leo dhidi ya Al Hilal walikubali kupoteza kw bao 1-0 Yanga. Ni bao la dakika ya 3 lilitosha kuwapa ushindi Al Hilal wakiwa nyumbani na kutinga hatua ya makundi. Mohamed Abdrahaman…
MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa Afrika ni mapumziko. Al Hilal wanaongoza bao 1-0 Yanga ikiwa ni mchezo wa marudiano baada ya ule wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Mkapa kuwa Yanga 1-1 Al Hilal. Mtupiaji niMohamed Yusuph dakika ya 3 wakiwa kwenye uwanja wao wa nyumbani. Bado wawakilishi wa Tanzania Yanga wana dakika 45 za kujiuliza…
SIMBA imetinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa jumla ya ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya de Agosto. Mchezo wa ugenini Simba ilishinda kwa mabao 3-1 na leo Oktoba 16,2022 imeibuka na ushindi wa bao 1-0. Ushindi huo wakiwa nyumbani unawapa tiketi ya kufuzu hatua ya makundi chini ya Kocha Mkuu, Juma…
IMEWACHUKUA dakika 33 wachezaji wa Simba kusaka bao la kuongoza kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya de Agosto. Ni bao la Moses Phiri dakika ya 33 limefungua ukurasa wa uongozi kwa wenyeji Simba. Amepachika bao hilo akiwa kwenye uangalizi wa mabeki wa de Agosto akitumia pasi ya nahodha msaidizi Mohamed Hussein. Kwa…
KATIKA kuhakikisha anapata matokeo mazuri ugenini dhidi ya Al Hilal, Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi, amepanga kufanya mabadiliko ya baadhi ya wachezaji kwenye kikosi cha kwanza kitakachocheza mchezo huo. Timu hizo zinatarajiwa kuvaana leo Jumapili kwenye Uwanja wa Al Hilal uliopo katika Mji wa Omdurman huko nchini Sudan katika mchezo wa marudiano. Katika…
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu Juma Mgunda leo Oktoba 16,2022 kinatupa kete yake kimataifa dhidi ya de Agosto ya Angola. Hiki hapa kikosi cha Simba kinachotarajiwa kuanza namna hii:- Aishi Manula Israel Mwenda Mohamed Hussein Joash Onyango Henock Inonga Sadio Kanoute Pape Sakho Mzamiru Yassin Moses Phiri Clatous Chama Okra
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Kalala Mayele amewataka mashabiki wa timu hiyo kutokata tamaa kwani bado wanayo nafasi nzuri ya kufanya vizuri wakiwa ugenini. Nyota huyo amewaomba mashabiki wasiwakatie tamaa kwa kuwa bado wana nafasi ya kufanya vizuri kwenye mechi ya leo ambayo ni ya marudio. Yanga wameshindwa kutamba katika mchezo wao wa kwanza wa Ligi…
MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema kuwa akili zao kwa sasa zinafikiria mchezo wa leo dhidi ya de Agosto ambao ni wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba chini ya Kocha Mkuu, Juma Mgunda ina kibarua cha kulinda ushindi wa mabao 3-1 ilioupata nchini Angola ili kuweza kusonga mbele katika hatua…
KASI waliyoanza nayo Simba katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika imemuibua Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe ambaye amekubali mziki wa watani zao hao na kuwatakia kila la kheri katika safari yao ya kusaka tiketi ya kufuzu hatua ya makundi kupitia mchezo wao wa marudiano dhidi ya C.D de Agosto ya Angola. Jumapili iliyopita…
FISTON Mayele mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha Yanga anaingia kwenye dakika 90 za moto kushirikiana na mastaa wengine kupata matokeo ugenini kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Hilal. Katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Oktoba 8, ubao uliposoma Yanga 1-1 Al Hilal ni Mayele alifunga kwa Yanga na kumfanya…
KWENYE anga la kimataifa rekodi zinaonyesha kuwa namba za wazawa kufurukuta ni finyu kutokana na wageni kutawala kila kona. Yanga na Simba wanaperusha bendera kwenye Ligi ya Mabingwa huku Azam FC kwenye Kombe la Shirikisho wao mchezo wao walipoteza kwa kufungwa mabao 3-0 dhidi ya Al Akhadar ya Libya wana kazi ya kufanya mchezo wa…
WAWAKILISHI wa Tanzania Yanga wapo ndani ya Sudan ikiwa ni pamoja na Bernard Morrison, Heritier Makambo, Djuma Shaban, Kibwana Shomari, Tuisila Kisinda kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Hilal unaotarajiwa kuchezwa leo.
LAZIMA wakae, Azam FC wana jambo lao leo, ndani ya Spoti Xtra Jumapili