
YANGA V SIMBA, UNAPIGWA KAMA NGOMA,PUMZI YA MOTO
KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Bara kesho kati ya Yanga v Simba, Uwanja wa Mkapa unaambiwa sera ya Yanga unapigwa kama ngoma huku Simba wao wakisema unapelekewa pumzi ya moto
KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Bara kesho kati ya Yanga v Simba, Uwanja wa Mkapa unaambiwa sera ya Yanga unapigwa kama ngoma huku Simba wao wakisema unapelekewa pumzi ya moto
MOHAMED Hussein Zimbwe Jr, nahodha wa Simba amesema kuwa hawataangalia mchezaji mmoja kwenye kukaba bali kila mchezaji atatimiza majukumu yake kwa ushirikiano. Akijibu swali la mwandishi wa habari alipoulizwa kuhusu safu ya ulinzi kumtolea macho mshambuliaji Fiston Mayele wanapokutana amesema kuwa wanafanya kazi kwa kushirikiana. Kesho Oktoba 23,2022 Simba inatarajiwa kumenyana na Yanga kwenye mchezo…
KIUNGO mchetuaji wa Yanga, Bernard Morrison kesho ataukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Pia Crispin Ngushi huyu naye anatarajiwa kuukosa mchezo wa kesho kwa kuwa hajawa fiti. Sababu ya kukosekana kwenye mchezo huo ni kutokana na adhabu ambayo alipewa kutokana na kosa la kumkanyanga mchezaji wa Azam…
WAKATI mwingine furaha huwa inabebwa na maumivu jambo ambalo linafanya maisha yaendelee kuwa maisha hakuna namna ni hali halisi ilivyo. Ikiwa upo kwenye mazingira mazuri basi huo uzuri acha uendelee kunogeshwa na yale ambayo yatatokea ndani ya Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga dhidi ya Simba. Hakika unatarajiwa kuwa…
MENEJA wa Habari wa Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amesema wamempa jukumu mshambuliaji wao tegemeo Mzambia Moses Phiri la kuwalipua watani wao wa jadi, Yanga. Hiyo ni katika kuelekea mchezo wa raundi ya Kwanza ya Ligi Kuu Bara ambao utapigwa kesho Jumapili kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar. Mchezo huo muhimu kwa kila timu, Yanga…
WACHEZAJI wa Yanga kwa pamoja wamewaahidi viongozi wa timu hiyo, kupambana kwa dakika 90 ili kuhakikisha wanarejresha imani ya mashabiki katika Kariakoo Dabi. Dabi hiyo inatarajiwa kuzikutanisha Simba dhidi ya Yanga katika mchezo wa raundi ya kwanza ya Ligi Kuu Bara utakaochezwa Jumapili hii kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar. Ni Jumatatu timu ilirejea kambini Kijiji…
ALLY Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wamewaandalia dozi wapinzani wao Simba kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara unaoatarajiwa kuchezwa Oktoba 23,2022 Uwanja wa Mkapa
TUNAWAPIGA kwenye mshono, Mayele nitawatungua kama kwenye Ngao, ndani ya Championi Jumamosi
Yule mtu aliyesema maisha bila soka hayaendi wala hakukosea, ni kweli kabisa mpira ni maisha na maisha ni mpira. Sasa kamata mzuka kamili wa mechi kali wiki hii, mzuka huu umepewa nguvu kubwa na Meridianbet kwa ODDS kubwa. EPLitaendelea tena kwa michezo kadhaa, macho ya wengi yatakuwa kwenye game ya Chelsea atakaowakaribisha vijana na…
LICHA ya bao la kusawazisha ambalo lilifungwa na Idris Mbombo wa Azam FC dakika ya 18 bado pira kodi lilisepa na pointi tatu mazima. Ni kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Uhuru baada ya dakika 90 ubao umesoma KMC 2-1 Azam FC. Nyota wa KMC, Nzigamasab Styve alifunga bao la kuongoza dakika ya 15…
ALLY Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema Jumapili mashabiki wa Yanga watakuwa na furaha kuanzia saa 2:00 usiku huku akiweka wazi kuwa utani wa jadi lazima uendelee huku watani zao wa jadi watakuwa na kazi kwenye hatua ya makundi kwani kuna hatihati ya kuweza kukutana na Al Ahly ama Zamalek
KOCHA Mkuu wa Simba, Juma Mgunda ametamba kuwa katika maisha yake ya soka hajawahi kuiogopa timu yoyote huku akitamba kuwa yupo tayari kwa ajili ya mapambano Kariakoo Dabi. Kariakoo Dabi hiyo inatarajiwa kupigwa Jumapili saa kumi na moja kamili jioni kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo, Mgunda ataingia uwanjani akiwa na…
MFANYABIASHARA ya Mbao, anayetokea Mufindi wilaya ya Mafinga, Iringa Maliki Athumani Mshuza, ameshinda sh. 15,626,306 katika Jackpot Bonus ya Sportpesa iliyochezwa katikati ya wiki iliyoisha, baada ya kupatia kwa usahihi mechi 12 kati ya mechi 13. Akizungumza baada ya hafla ya makabidhiano ya mfano wa hundi katika ofisi za Sportpesa jijini Dar, Maliki amesema alianza…
WAAMUZI wa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga v Simba wametangazwa. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Oktoba 23, Uwanja wa Mkapa ambapo kiingilio kwa mzunguko ni 5,000. Taarifa iliyotolewa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, (TPLB) imemtaja Ramadhan Kayoko kuwa ni mwamuzi wa kati. Pia wengine ambao atafanya nao kazi kwenye mchezo huo…
HASHEEM Ibwe, Ofisa Habari wa muda ndani ya Azam FC ameweka wazi kuwa wanawaheshimu wapinzani wao KMC lakini pointi zao tatu wanazitaka jambo linalowafanya wajiandae vizuri. Ibwe amepewa majukumu kwa muda akichukua mikoba ya Zakaria Thabit ambaye amefungiwa kutojihusisha na masuala ya soka kwa muda wa miezi mitatu na Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa…
MKE na mum ambao ni mashabiki wa timu kongwe Simba na Yanga wamecharurana kuhusu mafanikio ya timu hizo ambazo zinatarajiwa kukutana Oktoba 23,2022 Uwanja wa Mkapa
CHRISTINA Mwagala, Ofisa Habari wa KMC amesema kuwa wapo imara na tangu wameanza ligi ni mchezo mmoja pekee wamepoteza huku wakibainisha kuwa vijana wanacheza kwa morali lengo ni kupata matokeo