
BEKI AOMBA KUONDOKA SIMBA, MICHO ALICHAMBUA BAO LA AZIZ KI
BEKI aomba kuondoka Simba, Micho alichambua bao la Aziz KI ndani ya Spoti Xtra Jumanne.
BEKI aomba kuondoka Simba, Micho alichambua bao la Aziz KI ndani ya Spoti Xtra Jumanne.
UONGOZI wa KMC umeweka wazi kuwa unahitaji kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara ulio mikononi mwa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. KMC chini ya Kocha Mkuu, Hitimana Thiery imekusanya pointi 13 baada ya kucheza mechi 8 za ligi, imeshinda tatu, sare nne na imepoteza mchezo mmoja ikiwa nafasi ya tatu. Christina Mwagala, Ofisa…
ILIKUWA shoo shoo, Okra apepea na milioni 300 za Yanga ndani ya Champion Jumatatu.
DAKIKA 90 za Kariakoo Dabi kila mmoja kasepa na pointi moja baada ya sare ya kufungana bao 1-1 Uwanja wa Mkapa. Simba walianza dakika ya 14 kupitia kwa Augustino Okra ambaye alionyeshwa kadi ya njano na mwamuzi Ramadhan Kayoko kwa kosa la kushangilia akiwa amevua jezi. Ngoma iliwekwa usawa na Aziz KI kwa pigo huru…
KETE ya Kocha Mkuu Nasreddine Nai wa Yanga leo Oktoba 23 Uwanja wa Mkapa dhidi ya Simba mchezo wa Ligi Kuu Bara inaweza kuwa namna hii:- Diarra Djuma Shaban Bangala Dickson Job Kibwana Shomari Aziz KI Feisal Salum Khalid Aucho Tuisila Kisinda Fiston Mayele Jesus Moloko
WAKATI leo Simba ikitarajiwa kumenyana na Yanga huenda hiki hapa kikawa kikosi ambach kinaweza kupangwa na Kocha Mkuu wa Simba Juma Mgunda namna hii:- Aishi Manula Israel Mwenda Henock Inonga Joash Onyango Zimbwe Sadio Kanoute Mzamiru Yassin Clatous Chama Kibu Dennis Moses Phiri Okra Una maoni tofauti na haya?
WATANI wa jadi Yanga na Simba wapo kwenye mtihani mzito kutokana na kupewa mwamuzi mwenye rekodi ya kutoa kadi za njano, nyekundu pamoja na penalti kwenye mechi ambazo alikuwa kati. Leo Uwanja wa Mkapa ulimwengu utashuhudia Kariakoo Dabi ambapo tayari waamuzi wameshatangazwa ikiwa ni pamoja na Ramadhan Kayoko atakayekuwa mwamuzi wakati. Rekodi zinaonyesha kuwa Oktoba…
MABONDIA nyota wa Afrika na Marekani watashiriki katika pambano ya Super Dome Boxing yaliyopangwa kufanyika Novemba 4 kwenye ukumbi mpya wa kisasa wa Super Dome Arena. Mapambano hayo yameandaliwa kwa ushirikiano wa kampuni yenye uzoefu mkubwa wa kuandaa ngumi za kulipwa duniani, Global Boxing Stars kwa ushirikiano na kampuni ya Tanzania, LP Sport chini ya…
NYOTA wa Simba Moses Phiri ni miongoni mwa nyota ambao wapo kwenye kikosi cha Simba ambacho kinafanya maandalizi kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Wengine ni Pape Sakho, Henock Inonga,Kibu Dennis
MDAKA mishale wa Yanga, Djigui Diarra, kwenye anga la kimataifa amekimbizwa na Aishi Manula maarufu Air Manula wa Simba. Katika mechi nne za Ligi ya Mabingwa Afrika ambazo Yanga na Simba zimecheza msimu huu, Diarra katunguliwa mabao mawili, huku akiwa na clean sheet mbili. Alifungwa bao mojamoja dhidi ya Al Hilal nyumbani na ugenini kwenye…
MABEKI wa Yanga wameweka wazi kuwa hawatakubali kufanya makosa na kuwaruhusu washambuliaji wa Simba wakiongozwa na Moses Phiri kupata nafasi ya kuwafunga. Simba kwa sasa wanatamba na ubora wa mshambuliaji wao Moses Phiri ambaye ameifungia timu hiyo mabao 4 katika michezo 5 ya ligi kuu msimu huu, jambo ambalo ni tishio kuelekea mchezo wa leo…
UONGOZI wa Klabu ya Simba, umekiri kuwa umechoka kufungwa na Yanga, na safari hii watapambana kuhakikisha kuwa wanaibuka na ushindi katika mchezo wa ligi kuu leo Jumapili kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar. Simba wameshindwa kupata matokeo katika michezo minne iliyopita ambayo walikutana na Yanga, wakiambulia sare mbili na vipigo viwili, mmoja wakipoteza katika nusu fainali…
TIMU ya Taifa ya Wasichana ya Tanzania chini ya miaka 17, Serengeti Girls, jana Jumamosi iliyaaga mashindano ya Kombe la Dunia Wanawake U17 baada ya kuchapwa mabao 3-0 dhidi ya Colombia, lakini wametuhesimisha Watanzania. Kikosi hicho cha Bakari Shime, kilimaliza mechi hiyo ya robo fainali kikiwa tisa uwanjani kufuatia wachezaji wawili kuonyeshwa kadi nyekundu. Alianza…
Kila mmoja ni bingwa kwenye uwanja wake, na Meridianbet wanakupa nafasi ya kutamba kibingwa kwa kuibuka mshindi wa zawadi zao kibao. Meridianbet wamekusogezea ofa kubwa kwa mchezaji mpya kabisa wa Meridianbet, wakati wachezaji wakongwe wakiendelea kufurahia ofa lukuki kwenye ubashiri wao. Umewahi kukutana na Bonasi ya Ukaribisho Kubwa Kama Hii? Meridianbet pekee, wanakupa nafasi ya…
OFISA Habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa mchezo wa keshi dhidi ya Simba ni muhimu kwao kupata alama tatu ambazo zitawafanya wakae kwenye namba moja ndani ya Ligi Kuu Bara
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho wa ligi dhidi ya Simba na wanatarajia kutoa burudani kwenye mchezo huo
TAIWO Awoniyi amezima furaha ya mashabiki wa Liverpool na kuwafanya Nottm Forest kubaki na pointi tatu wakiwa nyumbani. Kwenye mchezo wa Ligi Kuu England, bao la ushindi limefungwa dakika ya 55kipindi cha pili jitihada za Liverpool kusaka usawa na ushindi zikakutana na uimara wa kipa wa wapinzani wao. Ni mashuti 10 Nottm walipiga na 7…