
ISHU YA CHAMA KUFUNGIWA SIMBA YAJA NA JAMBO HILI
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo dhidi ya Singida Big Stars huku akiwakosa nyota mbalimbali kutokana na sababu kadhaa. Miongoni mwa nyota hao ni pamoja na kiungo chaguo namba moja la Mgunda, Clatous Chama ambaye amefungiwa kucheza mechi tatu kutokana na kosa la kushindwa kusalimiana…