
BOSI AMTAJA KOCHA MPYA SIMBA, NABI AMCHAMBUA STRAIKA MPYA
BOSI amtaja kocha mpya Simba SC, kocha Nabi amchambua staraika mpya Yanga ndani ya Spoti Xtra Jumanne
BOSI amtaja kocha mpya Simba SC, kocha Nabi amchambua staraika mpya Yanga ndani ya Spoti Xtra Jumanne
YANGA hii unapigwa nje ndani, jana Novema 13 ubao wa Uwanja wa CCM Kirumba ulisoma Kagera Sugar 0-1 Yanga
INAELEZWA kuwa Senegal ipo tayari kuwatumia hata waganga wa kienyeji kuhakikisha nyota wao Sadio Mane anapona na kushiriki Kombe la Dunia ambalo linatarajiwa kuanza Novemba 20,kule Qatar. Mane yupo kwenye hatihati ya kukosekana kwenye Kombe la Dunia baada ya hivi karibuni kuumia akiwa na Klabu ya Bayern Munich kwenye mchezo dhidi ya Werder Bremen. Katibu…
Haijalishi unatoka familia gani ili uwe Mfalme, Yeyote aliyepo kwenye famila ya Meridianbet ni mfalme wa Maisha yake, na Leo Meridianbet wanamleta kwenu Mfalme wa Beti na Kitochi kwa USSD. Mfalme huyu anaitwa Zamiru Mohammed kutoka Chalinze, Gwiji aliyejishindia Pesa Taslimu TZS 1,324,878/= Milioni moja, Laki tatu na Elfu Ishirini na nne, Mia nane…
MASHUTI mawili yalipigwa kwenye lango la Brighton na wapinzani wao Aston Villa na hayo yote yalijaa nyavuni. Uwanja wa Falmer ulisoma Brighton 1-2 Aston Villla kwenye mchezo wa Ligi Kuu England ambao ulichezwa Novemba 13. Ni mabao ya Danny Ings aliyefunga dakika ya 20 kwa mkwaju wa penalti na lile la pili alifunga mwenyewe dakika…
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amekiri kuwa wanatengeneza nafasi nyingi kwenye mechi ambazo wanacheza lakini tatizo lipo kwenye kuzitumia nafasi jambo ambalo linafanyiwa kazi. Safu ya ushambuliaji imetupia mabao 19 na kinara ni Moses Phiri mwenye mabao matano na pasi mbili za mabao. Kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Singida Big Stars,Phiri alikosa nafasi…
WACHEZAJI wengi wamekuwa wakishindwa kukamilisha dakika 90 kwenye mechi ambazo wanacheza kutokana na kupata maumivu wakiwa kwenye majukumu yao. Hii inatokana na mikimbio ambayo wanaifanya na wakati mwingine ni kutokana na mwili kutokuwa sawa unahitaji mapumziko yote yanatokea. Lakini pia wakati mwingine wachezaji wanashindwa kukamilisha dakika zote 90 ama zile ambazo watapewa kutokana na kupewa…
MBUKINABE chuma aanza kazi Yanga, majembe manne yampa jeuri Mgunda Simba ndani ya Championi Jumatatu
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amewapa pongezi Kagera Sugar kwa kuonyesha ushindani kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba. Dakika 90 zimekamilika, ubao umesoa Kagera Sugar 0-1 Yanga bao ambalo lilifungwa mapema kipindi cha kwanza. Ni Clemet alipachika bao hilo dakika ya 18 lililomshinda kipa wa Kagera Sugar Said Kipao. Kipindi cha…
UWANJA wa CCM Kirumba dakika 45 zimekamilika na ubao unasoma Kagera Sugar 0-1 Yanga. Bao la uongozi kwa Yanga limefungwa na nyota Clemet Mzize dakika 18 akiwa ndani ya 18 na kuwanyanyua Wananchi. Mashabiki wamejitokeza kwa wingi na dakika ya 45 walisimama kwa pamoja kupig makofi kushangilia uongozi wao pamoja na rekodi yakucheza mechi hizo…
BEKI wa Simba, Shomari Kapombe amesema kuwa ligi ni ngumu na kupata pointi tatu kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ihefu ni jambo la muhimu lakini alikuwa anapitia wakati mgumu alipokuwa nje ya uwanja
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa ratiba ni ngumu lakini hawalalamiki huo ni ukweli. Nabi amebainisha kuwa wametumia muda mwingi kwenye ndege kuliko muda wa kufanya maandalizi kwa mechi iliyo mbele yao. Leo Yanga ina kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania unaotarajiwa kuchezwa Uwanja…
JUMA Mwambusi, Kocha Mkuu wa Ihefu amesema kuwa mpango kazi ulivurugika baada ya timu hiyo kufungwa bao kipindi cha pili. Katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa jana Novemba 12,Uwanja wa Mkapa, Ihefu ilifanikiwa kutoruhusu bao ndani ya dakika 45 za kipindi cha kwanza. Kipindi cha pili walikwama kulinda na kufunga na kuruhusu bao la…
MASHABIKI KMC wamvaa mshambuliaji namba moja wa Yanga, Fiston Mayele, waweka wazi kwamba wanahitaji ubingwa
MZIWANDA ameweka wazi kuwa ligi bado na makosa ambayo yalitokea kwenye mchezo dhidi ya Singida Big Stars ni ya kiufundihivyo ligi bado inaendelea na ana imani na timu hiyo kwamba itafanya vizuri
AZAM FC wameibuka na ushindi wa maao 4-3 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar Uwanja wa Manungu, Moro. Kasi ya Azam FC ilianza kipindi cha kwanza ambapo walipata mabao yote hayo matatu yaliyowapa uongozi. Ni Idris Mbombo ambaye ametupia mabao mawili dakika ya 18 na 30 kwenye mchezo huo wakiwa ugenini….
KIUNGO wa Simba, Pape Sakho leo Novemba 12,2022 amefunga bao lake la tatu ndani ya Ligi Kuu Bara. Ni bao la ushindi pia kwa Simba wakati ikiibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ihefu mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Juma Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa pongezi kwa wachezaji kufanikisha mpango…