
MBOMBO NI NAMBA MOJA AZAM FC
KINARA wa utupiaji mabao ndani ya kikosi cha Azam FC ni Idris Mbombo ambaye ametupia mabao 6. Bao lake la sita aliwatungua Ruvu Shooting, Uwanja wa Azam FC kwa mkwaju wa penalti dakika ya 90. Linakuwa ni bao lake la pili la penalti msimu huu huku likiwa ni bao la kwanza kwake ufunga dakika za…