
HAO ENGLAND WAITUNGUA IRAN 6-2 KOMBE LA DUNIA
MABAO 8 yamekusanywa leo kwenye mchezo wa Kombe la Dunia huko Qatar baada ya dakika 90 kukamilika. Ubao wa Uwanja wa taifa wa Khalifa umesoma England 6-2 Iran kwenye mchezo wa kundi B. Mabao ya Jude Bellingham dakika ya 35, Bukayo Saka dakika ya 43 na 62, Raheem Sterling dakika ya 45+1, Marcus Rashford dakika…