
MGUNDA:MBEYA CITY NI WAGUMU
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa aliweka wazi tangu awali kuwa mchezo wao dhidi ya Mbeya City utakuwa mgumu na matokeo ambayo wamepata yametokana na ushindani huo. Licha ya kupata bao la kuongoza dakika ya 14 Simba iliokota bao dakika ya 78 kupitia kwa Tariq Seif ambaye alifanya mpango wa timu hiyo kusepa…