
KIUNGO LUIS AKUBALI KUTUA YANGA, OFA YA MAANA MEZANI
TAARIFA zikufikie kuwa, kiungo wa Al Ahly ya nchini Misri, Luis Miqquissone ameikubali ofa nono aliyowekewa na mabosi wa Yanga ili kufanikisha dili lake la kutua mitaa ya Jangwani. Luis ni kati ya wachezaji wanaotajwa kuwaniwa na Yanga katika usajili huu wa dirisha dogo lililofunguliwa tangu Desemba 16,2022. Wachezaji wanaotajwa kuwepo katika mipango ya kusajiliwa…