
VIDEO:AZAM FC YAFUNGUKIA ISHU YA MWAMUZI/BALL INATEMBEA
AZAM FC yafungukia ishu ya mwamuzi wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa Februari 21 na ubao ukasoma Simba 1-1 Azam FC
AZAM FC yafungukia ishu ya mwamuzi wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa Februari 21 na ubao ukasoma Simba 1-1 Azam FC
KIUNGO Sadio Kanoute ni lazima abadili uchezaji wake kwenye kutimiza majukumu yake anaigharimu timu, anagharimu afya za wachezaji wake. Ni mchezaji mzuri anafanya kazi ngumu na inayoonekana lakini lazima aongeze umakini kwenye kutimiza majukumu yake. Kuna mikato yake mingine ni hatari kwa usalama wa wachezaji na kadi za njano ambazo anapewa zinaigharimu timu yake. Benchi…
LICHA ya kuwa katika ngome yao Uwanja wa Anfield walitunguliwa na wageni Real Madrid. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Liverpool 2-3 Real Madrid ikiwa ni mchezo wa UEFA Champions League. Mabao ya Darwin Nunez alipachika bao dakika ya 4 kisha Mohamed Salah alipachika bado dakika ya 14 yakiwa ni mabao pekee Kwa Liverpool. Vini…
BAADA ya Mzizima Dabi kukamilika Februari 21 na ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 1-1 Azam FC leo Ligi Kuu Bara inatarajia kuendelea. Ni mchezo wa wakusanya mapato KMC v Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Mkapa, ubao ulisoma Yanga 1-0 KMC. Hivyo mchezo wa leo…
IMEISHA hiyo Nabi akabidhiwa faili la Winga TP Mazembe, Robertinho mtegoni apewa tatu Simba ndani ya Championi Jumatano
NGOMA nzito kwa Simba mbele ya Azam FC baada ya Mzizima Dabi kukamilika kwa sare ya kufungana bao 1-1. Mchezo ulioshuhudia bao la mapema na bao la usiku kwa timu zote mbili huku wafungaji wote wakitoka ndani ya Azam FC. Ni Prince Dube alianza kuwatungua Simba dakika ya kwanza alipompa tabu Aishi Manula mpaka dakika…
NI bao la mapema zaidi ndani ya Ligi Kuu Bara kupata kutunguliwa kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula na mtupiaji akiwa ni mshikaji wake anayempa mateso siku zote. Anaitwa Prince Dube hakuhitaji dakika mbili zaidi ya ile ya kwanza kupachika bao la uongozi dhidi ya Simba kwenye mchezo unaochezwa Uwanja wa Mkapa. Moja ya…
KIKOSI cha Azam FC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Kali Ongala leo kinakazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Simba. Ongala alikiongoza kikosi hicho kwenye mzunguko wa kwanza kuitungua Simba na kusepa na pointi tatu mazima. Hiki hapa kikosi cha Azam FC dhidi ya Simba:- Idrissu Abdulai, Lusajo Mwaikenda, Nathaniel Chilambo,Daniel Amoah,Abdalah Kheri, Isah Ndala, Sospeter…
KIKOSI cha Simba leo kina kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Azam FC. Mchezo huo ni wa ligi ikiwa ni mzunguko wa pili na kikosi ambacho kinatarajiwa kuanza kipo namna hii:- Aishi Manula, Shomari Kapombe, Kennedy Juma,Hennock Inonga,Sadio Kanoute,Pape Sakho, Mzamiru Yassin,John Bocco, Saido Ntibanzokiza na Clatous Chama Akiba Beno, Israel, Outtara,Mkude,Kibu,Kapama,Baleke,Habibu, Phiri
GUMZO eneo liliporudi basi la Simba, Jembe atinga kujionea, afichua mapya
KAZI kubwa inatarajiwa kufanyika leo Uwanja wa Mkapa kwa Dabi ya Mzizima kati ya Simba v Azam FC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Unakuwa ni mchezo wa pili kwa wababe hawa kukutana baada ya ule uliopita wa mzunguko wa kwanza ubao kusoma Azam FC 1-0 Simba na kuwafanya Simba kuyeyusha pointi tatu muhimu. Kocha Mkuu…
MSIMU wake wa kwanza akiwa na Yanga baada ya kusajiliwa kwenye dirisha dogo akiwa ni mchezaji huru. Kiungo Muadhathir Yahaya ameweka wazi kuwa bado hajafikia kwenye uwezo anaofikiria licha ya kupata nafasi za kucheza kwenye mechi za ushindani. Nyota huyo ameingia jumlajumla kikosi cha kwanza cha Yanga kwenye eneo la kiungo mkabaji akionesha makeke yake…
UMESIKIA hiyo, thamani ya staa wa Manchester City, Erling Haaland kwa sasa ni euro bilioni 1. Haya yameelezwa na wakala wa staa huyo, Rafaela Primenta ambaye anamsimamia Haaland na mastaa wengine akiwemo Paul Pogba, Marco Verratti, Gianluigi Donnarumma, Matthijs de Ligt. Staa huyo ndani ya Manchester City kwenye Premier msimu huu amefanikiwa kufunga mabao 26,…
SAPRAIZI za kutosha zilijiri wikiendi iliyopita ndani ya ligi tano bora Ulaya. Hii ni kwa namna mambo yalivyoonekana katika viwanja tofauti kwenye ligi za Bundesliga, La Liga, Serie A, Premier League na Ligue 1. Huko Ulaya vita ilikuwa kali lakini kuna mastaa walionekana kuendelea kutisha kwa kuzibeba timu zao kama Marcus Rashford, Victor Osimhen, Kylian…
WEKA ngoma ngumu Wananchi wanaicheza bila hofu kwa kuwa wapo nyumbani na burudani unapata bila tabu kwani Wananchi wakiamua hawashindwa. Ilikuwa hivyo dhidi ya TP Mazembe juzi Jumapili. Mpanga mipango alikuwa ni Kocha Nasreddine Nabi aliyeshuhudia dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Yanga 3-1 TP Mazembe ukiwa ni mchezo wa Kundi D katika…
YANGA SC yamteka winga TP Mazembe, mechi ya heshima Simba v Azam FC ndani ya Spoti Xtra Jumanne
Hakikisha unafuata haya ukitaka kushinda kirahisi kwenye mechi za leo za UCL ndani ya Meridianbet, mabingwa wa ODDS kubwa na Kasino ya Mtandaoni kwa mara nyingine wametoa machaguo kibao, takwimu za kila timu na odds kubwa. Bashiri mubashara kupitia duka la ubashiri la Meridianbet. ODDS kubwa za Jumanne 21/2/2023 Huenda ukawa unajiuliza sana Vijana wa…