
YANGA HAWA HAPA NDANI YA DAR, AHADI KAMA ZOTE
MSAFARA wa Yanga umewasili leo Dar ukitokea Mali ulipokuwa na mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Real Bamako ambao ni wa hatua ya makundi. Katika mchezo huo Yanga iligawana pointi mojamoja kwa ubao kusoma Real Bamako 1-1 Yanga baada ya dakika 90. Ni Fiston Mayele alipachika bao kwa upande wa Yanga kwenye mchezo huo…