
SIMBA YATINGA ROBO FAINALI KWA 4G
MOHAMED Mussa nyota wa Simba amefunga bao lake la kwanza akiwa na Simba baada ya kujiunga na timu hiyo katika dirisha dogo dakika ya 69. Ubao wa Uwanja wa Uhuru umesoma Simba 4-0 African Sports ikiwa ni mchezo wa hatua ya mtoano. Bao la kwanza ni Mali ya Jean Baleke dakika ya 36, Kennedy Juma…