BABKUBWA NA MERIDIANBET WIKIENDI HII, WEKA ODDS BOMBA KATIKA MICHEZO TOFAUTI

Meridianbet wanakuita wewe mteja ambao umekua ukibashiri na mabingwa hawa wa michezo ya kubashiri muweze kushinda kwa pamoja, Kwani wikiendi hii meridianbet wameweka odds bomba katika michezo tofauti tofauti itakayokwenda kupigwa. Bashiri na meridianbet ushinde Michezo ya Jumamosi Machi 4 Baada ya kupata matokeo ya ushindi mchezo uliopita klabu ya Manchester City watakua nyumbani kuwakaribisha…

Read More

YANGA WAPENYA ROBO FAINALI

MABINGWA watetezi wa Kombe la Azan Sports Federation, Yanga wamepenya hatua ya robo fainali baada ya kupata ushindi leo Machi 3,2023. Uwanja wa Azam Complex umesoma Yanga 4-1 Tanzania Prisons ambapo mabao yote yamefungwa kipindi cha pili. Ni Bakari Mwamnyeto alifungua ukurasa wa mabao dakika ya 51 kisha likawekwa usawa na Jeremiah Juma dakika ya…

Read More

GEITA GOLD, SINGIDA BIG STARS ZAPETA

MAPEMA leo kwenye mechi za hatua ya 16 bora Kombe la Azam Sports Federation Geita Gold walikata tiketi ya kutinga hatua ya robo fainali. Ni ushindi wa mabao 3-1 wameupata dhidi ya Green Warriors kwenye mchezo huo. Geita Gold imeweka wazi kuwa hesabu zake ni kutinga hatua ya fainali ya kombe hilo ambalo bingwa mtetezi…

Read More

YANGA 0-0 PRISONS

DAKIKA 45 za kipindi cha kwanza za msako wa ushindi zimekamilika kwa jasho kwa kila mchezaji kuvuja. Ni Yanga ambao ni mabingwa watetezi wa Kombe la FA wakiwa kwenye msako wa kulitetea taji lao dhidi ya Prisons. Ubao wa Uwanja wa Azam Complwx unasoma Yanga 0-0 Tanzania Prisons. Ni Prisons wamepata pigo kutokana na makosa…

Read More

DUBE KAWALIZA KINOMANOMA SIMBA

PRINCE Dube wa Azam FC kwenye msako wa pointi sita dhidi ya Simba katupia mabao mawili, mwendo wa bao mojamoja. Mzunguko wa kwanza alitupia bao lililoipa pointi tatu na kwenye mchezo wa mzunguko wa pili alitupia bao moja wakapata pointi mojamoja. Ni pointi nne wamesepa nazo Azam mbele ya Simba ambayo imeambulia pointi moja tu….

Read More

HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA PRISONS

HIKI hapa kikosi cha Yanga dhidi ya Tanzania Prisons mchezo wa hatua ya 16 bora Kombe la Azam Sports Federation, Uwanja wa Mkapa ni full mkoko namna hii:- Diarra Djigui Kibwana Shomari Lomalisa Joyce Bakari Mwamnyeto Bacca Mauya Zawadi Jesus Moloko Sure Boy Musonda Aziz KI Kisinda Akiba Metacha Djuma Doumbia Job Bangala Mudathir Clement…

Read More

VITA YA MABINGWA NA WAJELAJELA

INGEKUWA ni mchezo wa Ligi Kuu Bara tungesema ni tatu zinasakwa ndani ya tatu kwa wababe wawili ambao watavuja jasho ndani ya dakika 90. Bahati nzuri ni hatua ya 16 bora Kombe la Azam Sports Federation ambapo yule atakayetunguliwa inakuwa ni kwaheri ya kuonana wakati ujao. Ni vita ya mabingwa watetezi Yanga chini ya Kocha…

Read More

VIGONGO VYA AZAM FC MACHI NI HIVI HAPA

MATAJIRI wa Dar Azam FC ndani ya Machi wana vigongo vikali vya moto viwili pekee ambavyo ni dakika 180. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Kali Ongala kete yake moja ni Kombe la Azam Sports na nyingine moja ni ya ligi. Itakuwa nyumbani Machi 5, Jumapili kusaka ushindi dhidi ya Mapinduzi ikiwa ni hatua ya…

Read More

UMAKINI UNAHITAJIKA KUFIKIA MALENGO

TUPO kwenye ulimwengu wenye ushindani mkubwa kwenye kila idara kuanzia Ligi Kuu Bara mpaka Kombe la Shirikishola Azam Sports hapa kila timu inahitaji ushindi. Ipo wazi kwamba mashindano yamekuwa yanazidi kuwa imara kila wakati na timu shiriki zinafanya kweli kwenye kusaka ushindi hili linahitaji pongezi. Wachezaji kwa sasa ni muda wao kuonyesha ule uwezo kwenye…

Read More