
WASHIKA BUNDUKI WATAMBA KUFANYA KWELI EMIRATES
BAADA ya sare ya kufungana mabao 2-2 katika mchezo wa Europa League raundi ya 16, Mikel Arteta amesema wapinzani wao watakwenda Emirates. Katika mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Jose Alvalade ubao ulisoma Sporting 2-2 Arsenal. Mabao ya Sporting yalifungwa na Goncalo Inacio dakika ya 34 na Paulinho dakika ya 55 Kwa Arsenal ni William Saliba…