
VIDEO:NYOMI LA MASHABIKI WA YANGA MAKAO MAKUU
NYOMI la mashabiki wa Yanga makao makuu noma sana
NYOMI la mashabiki wa Yanga makao makuu noma sana
BALEKE mnyama mkali, Yanga SC wana kisasi na Waarabu ndani ya Spoti Xtra Jumapili
MAAJABU ya mpira kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika yameendelea ikiwa ni hatua ya makundi. Ni Marcelo Allende alipachika bao la mapema dakika ya 4, ngoma nyingine ilijazwa kimiani na Themba Zwane dakika ya 24, Teboho Mokoena alipachika dakika ya 40 kwenye mchezo dhidi ya Al Ahly. Ni Peter Shalulile alijaza kimiani mara mbili dakika ya…
IKIWA kasi ya Simba itaendelea kwa namna hii mpaka kwenye mechi za Ligi ya Mabingwa angalau ule ubora wa Simba kwenye anga za kimataifa utarejea. Ubao wa Uwanja wa Manungu umesoma Mtibwa Sugar 0-3 Simba na kaz yote ilimalizwa kipindi cha kwanza kwa mabao ya Jean Baleke. Mshambuliaji Moses Phiri licha ya kutofunga ametengeneza nafasi…
FISTON Mayele mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya Geita Gold. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex saa 1:00 usiku. Ngoma inatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na timu zote kusaka pointi tatu. Mayele amesema:”Ni mchezo muhimu kwetu na tunahitaji kupata pointi tatu mashabiki wawe…
DAKIKA 45 za mwanzo zimekamilika Uwanja wa Manungu kwa timu zote kuvuja jasho kusaka mabao ya kuongoza. Mtibwa Sugar 0-3 Simba unasoma ubao wa Uwanja wa Manungu kwa sasa huku mashabiki wakiwa wamejitokeza kwa wingi. Ni Jean Baleke mshambuliaji wa Simba katupia mabao yote matatu hivyo anajihakikishia nafasi ya kusepa na mpira wake. Huu ni…
KIKOSI cha Azam FC kinatarajiwa kumenyana na Ihefu kwenye mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Bara. Azam FC chini ya Kocha Mkuu, Kali Ongala tayari wameanza maandalizi kwa ajili ya mchezo huo. Miongoni mwa wachezaji ambao wameanza maandalizi ni pamoja na Idris Mbombo, Prince Dube, Ayoub Lyanga. Ongala amesema wapo tayari kwa ajili ya mchezo…
KIKOSI cha Simba dhidi ya Mtibwa Sugar mchezo wa Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Manungu, Morogoro Aishi Manula Shomari Kapombe Mohamed Hussein Joash Onyango Henock Inonga Sadio Kanoute Clatous Chama Mzamiru Jean Baleke Moses Phiri Saidi Ntibanzokiza
KUELEKEA mchezo wa kesho Machi 12 wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga dhidi ya Geita Gold kuna mastaa watakosekana kikosi cha kwanza kutokana na sababu mbalimbali
JUMA Mgunda, kocha msaidizi wa Simba amesema kuwa wanatambua watapata upinzani mkubwa kwenye mchezo wao dhidi ya Mtibwa Sugar. Simba itakuwa Uwanja wa Manungu kusaka pointi tatu dhidi ya Mtibwa Sugar ambao nao wanazihitaji pia. Kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba 5-0 Mtibwa Sugar. Mgunda amesema:”Tunategemea kupata ushindani…
KMC inayonolewa na Hitimana Thiery iliambulia pointi moja kwenye sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Mtibwa Sugar huku mechi sita wakiambulia kichapo mazima. Timu hiyo KMC ilishuhudia ubao ukisoma KMC 1-3 Simba, Desemba 26,2022,Ihefu 1-0 KMC, Januari 3,2023,Mtibwa Sugar 1-1 KMC, Januari 13,2023. KMC 1-3 Namungo, Januari 24,2023,Ruvu Shooting 2-1 KMC, Februari 5,KMC 0-1 Yanga Februari 22 na Azam FC 1-0 KMC Februari 25….
ROBERTINHO akili nyingi Simba,mabosi Yanga washtuka, waingia msituni ndani ya Championi Jumamosi
KWA mara ya pili Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia Nasreddine Nabi amekutana na winga Real Bamako ya nchini Mali, Cheickna Diakite na kufanya naye kikao cha siri. Jana baada ya mchezo huo, kigogo wa Yanga alimwambia mwandishi wa gazeti hili kuwa, Diakite ni mchezaji mzuri ambaye amekuwa akimfuatilia tangu zamani kwa lengo la kumsajili kikosini…
BEKI Yanga aitikisa Afrika kwenye anga za kimataifa ambaye ni nahodha wa kikosi hicho akiwa kwenye mwendo wake
KIKOSI cha Simba leo Machi 9 2023 kimeibukia Morogoro kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar. Chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira mapema leo kilifanya mazoezi kabla ya kuanza msafara wa kuelekea Moro mji kasoro bahari. Huu ni mchezo wa mzunguko wa pili ambao unatarajiwa kuchezwa Jumamosi saa 10:00 jioni…
Haijawahi kuwa kinyonge pale Meridianbet wanapoanzisha jambo lao, mwezi huu tena wamekuja na sloti ya Aviator, ndani ya Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet unambiwa sloti hii inatoa hela balaa unaanzaje kuikosa hii. Kwa dau la kuanzia Tsh 200 unaweza kuizalisha na kuwa mamilioni ya hela kupitia mizunguko 500 ya bure inayotolewa kila siku baada ya…