
SINGIDA FOUNTAIN GATE SASA NI BLACK RHINO
UONGOZI wa Singida Fountain Gate umeweka wazi kuwa hasira zote walizoanza nazo kuoyesha Uwanja wa Liti kwa mechi zao za nyumbani zinahamia Uwanja wa Black Rhino. Uwanja huo wa Black Rhino Academ upo Karatu utatumiwa na Singida Fountain Gate baada ya Uwanja wa Liti kufungiwa kutokana na kukosa ubora. Ofisa Habari wa Singida Fountain Gate,…