
BEKI WA KAZI YANGA AWAITA MASHABIKI KWA MKAPA
DICKSON Job beki wa Yanga ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Simba. Novemba 5 2023 Uwanja wa Mkapa, Simba watakuwa wenyeji wa Yanga katika msako wa poiñti tatu muhimu. Job ambaye ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Miguel Gamondi amesema wanatambua umuhimu wa mchezo huo watapambana. “Tuntambua umuhimu…