
OSCAR PISTORIUS KUACHIWA HURU KWA MSAMAHA LEO AFRIKA KUSINI
Aliyekuwa mwanariadha wa Olimpiki mwenye ulemavu, Oscar Pistorius ataachiwa huru leo kwa msamaha na kutoka gerezani nchini Afrika Kusini baada ya kukaa jela kwa takribani miaka 11 kwa kosa la kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp. Alimpiga risasi kadhaa kupitia mlango wa bafuni mwaka wa 2013 na kudai kuwa alidhani ni mwizi. Pistorius, ambaye sasa ana…