
LUSAJO AIMALIZA RUVU SHOOTING UWANJA WA MAJALIWA
RELLIATS Lusajo ni namba moja kwa utupiaji Bongo akiwa ametupia mabao manne na bao lake la nne aliwatungua Ruvu Shooting, mchezo uliochezwa Uwanjawa Majaliwa. Kwenye mchezo huo ambao ni wa kwanza kwa Namungo kucheza Uwanja wa Majaliwa msimu wa 2022/23 kutokana na kufanyiwa marekebisho walijitokeza mashabiki wengi na burudani ilikuwa kubwa. Bao pekee la Lusajo…