SIMBA YATOA TAMKO KUHUSU KAGOMA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa upo bega kwa bega na mchezaji wao Yusuph Kagoma na unatamba naye kwa kuwa anasifa zote za kuwa katika kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Mechi mbili za Ligi Kuu Bara Fadlu ameongoza na kuhushudia kikosi hicho kikipata ushindi kwenye mchezo dhidi ya Tabora United kwa mabao…

Read More

SIMBA YAZIPIGIA HESABU POINTI ZA AZAM FC

KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Mei 9 2024 uongozi wa Simba umebainisha kwamba bado haujamaliza. Simba ipo chini ya Kocha Mkuu Juma Mgunda ina kazi yakusaka pointi tatu muhimu dhidi ya Azam FC ambao nao wanazihitaji pointi tatu pia. Ikumbukwe kwamba kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa…

Read More

MITAMBO YA KAZI YANGA IPO KAMILI KIMATAIFA

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga leo watakuwa Uwanja wa Mkapakusaka ushindi dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini. Kwenye mchezo wa leo mitambo ya kazi ambayo haikuwa fiti inatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi miongoni mwao ni Khalid Aucho, Pacome, Zawad Mauya huku YaoYao na Kibwana Shomari ripoti ya daktari itaamua uwepo…

Read More

KAZI KIMATAIFA NI KUBWA MIPANGO MUHIMU

BAADA ya makundi kupangwa kwa sasa ni muda wa kuanza kufanya maandalizi kwa ajili ya kupata matokeo chanya kwenye mechi za ushindani. Katika Ligi ya Mabingwa Afrika hakuna kubeba matokeo mfukoni wala kuamini kwamba uzoefu utawabeba katika kupata ushindi hilo halipo. Kuanza kubeba matokeo wakati huu na kujipeleka hatua ya robo fainali anguko linakuja. Hakuna…

Read More

THANK YOU YA KWANZA KWA KOCHA BONGO

SINGIDA Fountain Gate imeweka wazi kuwa Hans Pluijm hataendelea kuwa kwenye benchi la ufundi msimu wa 2023/24. Pluijm amepewa mkono asante Agosti 29 ndani ya timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho Afrika. Kwa sasa timu hiyo ya Singida Fountain Gate itakuwa chini ya Mathias Lule ambaye ni kocha msaidizi. Mchezo wa…

Read More

DAKIKA 45, PRISONS 1-2 YANGA

DAKIKA 45 za mwanzo Uwanja wa Nelson Mandela timu zote mbili zimekwenda mapumziko huku Yanga wakiwa mbele. Ni bao la Samson Mbangula wa Tanzania Prisons lilikuwa la kwanza kuwekwa kati dakika ya 9 kisha Salum Feisal alisawazisha dakika ya 23. Dakika ya 43, kiungo Khalid Aucho alifunga bao la pili la kuipa uongozi timu hiyo…

Read More

CHILUNDA NJE YA UWANJA WIKI NNE

NYOTA wa Klabu ya Azam FC, Shaaban Iddi Chilunda anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa wiki nne baada ya kupata majeraha ya goti wakati timu hiyo ilipokuwa inajiandaa kucheza na Klabu ya DTB mchezo wa kirafiki. Chilunda aliongozana na Daktari wa Timu Dkt Mwanandi Mwankemwa na kuibukia Cape Town, Afrika ya Kusini kwa ajili ya…

Read More

DEUCES WILD POKER KASINO YA KIFALME

Deuces Wild Poker Karata moja ya mchezo bomba kabisa na rahisi kuucheza kama ukituliza akili, ule usemi wa changa karata zako vizuri una maana kubwa sana kwenye mchezo huu wa kasino ya mtandaoni uliopo Meridianbet. Unapoanza kuucheza hakikisha karata zako umezichanga vizuri na kisha subiri mchezeshaji ajichanganye umpune. Jisajili Meridianbet uwe wa kwanza kufurahia promosheni…

Read More

YANGA V SINGIDA BIG STARS KUKIWASHA

CEDRICK Kaze, kocha msaidizi wa Yanga ameweka wazi kuwa mchezo wao dhidi ya Singida Big Stars hautakuwa mwepesi hivyo wataingia kwa nidhamu. Ni mchezo wa pili kwenye Kombe la Mapinduzi Yanga watacheza leo Januari 6,2023 baada ya ule wa kwanza kukamilisha kwa ushindi. Katika mchezo wa ufunguzi Yanga ambayo inamtumia Yacouba Songne kwenye mashindano hayo…

Read More