
NHIF: HOSPITALI BINAFSI ZINAZOSITISHA HUDUMA ZINAKIUKA MKATABA, TUNASAJILI VITUO VIPYA
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umesema umeona matangazo ya kusitishwa huduma kwa Wanachama wa NHIF kwa baadhi ya vituo binafsi; Regency Medical Center, Kairuki, Hospitali za TMJ, Hospitali ya Apollo na Hospitali zote za Aga Khan Nchini kuanzia leo Machi 1, 2024 na kueleza uamuzi huo ni kinyume na mkataba wa utoaji…