
BALAA LA CHAMA LIPO NAMNA HII
CLATOUS Chama kiungo wa kikosi cha Simba ana balaa zito ndani ya uwanja kutokana na kuendeleza kasi yake kwenye mechi za Ligi Kuu Bara akiwa ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha
CLATOUS Chama kiungo wa kikosi cha Simba ana balaa zito ndani ya uwanja kutokana na kuendeleza kasi yake kwenye mechi za Ligi Kuu Bara akiwa ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha
Mwanamume anayejulikana kama “iron lung man” ambaye aliugua polio akiwa mtoto amefariki dunia nchini Marekani akiwa na umri wa miaka 78. Paul Alexander aliugua polio mnamo 1952 alipokuwa na umri wa miaka sita, na kumwacha karibu kupooza kabisa. Kwa sababu ya ugonjwa wake, hakuweza kupumua mwenyewe, na madaktari walimweka kwenye mtungi wa chuma, ambapo alitumia…
Leo wakubwa wote wapo dimbani kusaka tiketi ya kwenda hatua ya Robo Fainali ya michuano ya EUROPA. Suka mkeka wako sasa na uweze kujiweka kwenye nafasi ya kuwa milionea leo hii. SL Benfica kutoka Ureno baada ya kulazimishwa sare mechi iliyopita akiwa nyumbani, leo hii atakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Glasgow Rangers katika dimba…
AMEWEKA wazi kocha wa Geita Gold kwamba wanatambua ubora wa wapinzani wao ulipojambo linalowafanya waingie kwa tahadhari kwenye mchezo wa ligi. Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza Geita Gold ilipoteza pointi tatu muhimu kwa kufungwa maba 3-0 inatarajiwa kuwa kwenye mwendo wa kisasi kusaka ushindi uwanjani. Denis Kitambi, Kocha Mkuu wa Geita Gold amebainisha kuwa…
Hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imekamilika huku wababe 8 wa Ulaya wakitinga robo fainali. Atletico Madrid na Borussia Dortmund zimeungana na Real Madrid, Manchester City, Barcelona, Arsenal, Bayern Munich na PSG kwenye hatua hiyo kufuatia ushindi usiku wa kuamkia leo. Atletico Madrid imefikia hatua hiyo baada ya ushindi wa penalti 3-2…
Nahodha wa Timu ya Taifa, Taifa Stars, Mbwana Samatta ameomba kutojumuishwa kwenye kikosi kilichoitwa kwa michezo ya FIFA Series 2024. Taarifa iliyotolewana Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF), imeeleza kuwa Samatta amezungumza na kocha kabla ya kutajwa kwa kikosi hicho na kumuomba asijumuishwe katika safari ya Azerbaijan, ombi ambalo limekubaliwa.
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kasi ambayo wanaendelea nayo ndani ya Ligi Kuu Bara mpinzani wao anayefuata atakutana na kitu kizito kutokana na mipango waliyonayo. Ikumbukwe kwamba Yanga ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 49 kibindoni baada ya kucheza mechi 18Machi 14 inatarajiwa kusaka pointi tatu dhidi ya Geita Gold,Uwanja wa Azam Complex
SELEMAN Matola, kocha msaidizi wa Simba amebainisha tatizo la Simba lilipo jambo ambalo limekuwa likisababisha kuruhusu kufungwa kwenye mechi ambazo wanacheza ndani ya uwanja msimu wa 2023/24.
KIUNGO wa Yanga ambaye mtindo wake wa ushangiliaji kila anapofunga ni kuonekana kama anaongea na simu amechaguliwa kuwa mchezaji bora ndani ya kikosi cha Yanga kwa Februari. Ni Mudathir Yahya ambaye katupia jumla ya mabao 8 ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 amekuwa chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Miguel Gamondi kwenye mechi…
Promosheni ya Pragmatic Play ya Drop&Win sasa imeanza tangu Machi 6, 2024 na itadumu mpaka 2025 Promosheni hii ni maalum kwa wateja wote waliojisajili na Meridianbet ambapo kiasi cha Zaidi ya Tsh 80,000,000,000/= zitatolewa kama mvua katika kipindi chote cha Promosheni. Promosheni hii ya Kasino ya Mtandaoni inajumuisha mashindano ya kila siku mia tatu sitini…
Ligi ya mabingwa ulaya usiku wa leo itapigwa michezo mikali sana mzunguko wa pili hatua ya 16 bora, Ambapo michezo hii itatamua hatma ya wa timu hizi katika safari yao ya kuitafuta hatua ya robo fainali. Michezo hii mikali itapigwa katika viwnaja viwili ambapo mchezo wa kwanza kati ya Borussia Dortmund dhidi ya PSV Eindhoven…
KAZI inaendelea ndani ya Ligi Kuu Bara ambapo vinara wa ligi na mabingwa watetezi Yanga wanatarajiwa kuwa na kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Geita Gold. Migue Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Geita Gold unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex….
MATAJIRI wa Dar,Azam FC wameendeleza mwendo wa kupiga hatua zaidi kwaajili ya kuwa na wachezaji bora na kuendeleza kutoa ajira kwa Watanzania kupitia sekta ya michezo. Taarifa ambayo imetolewa na Azam FC imeeleza namna hii: “Tumeingia makubaliano ya ushirikiano na vituo vya kulea vipaji (academies) nane za mikoa mbalimbali nchini. “Vituo hivyo nane vitakuwa ni…
AMETUPA jiwe gizani Ali Kamwe kuhusu timu kuuzwa bila kujua na kubainisha kuwa watakuwa na kazi kubwa kuendeleza kasi yao ya kusaka ushindi kwenye mechi ambazo wanacheza ndani ya uwanja. Ipo wazi kwamba Yanga ni vinara wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 wakiwa na pointi 49 baada ya kucheza jumla ya mechi 18