
MERIDIANBET YAWAPA WATEJA BONUS YA 20% KWA MIAMALA YA M-PESA PUSH
Meridianbet imezindua ofa mpya ya kuwapa wateja wao thamani zaidi kwa miamala ya kila siku inayofanywa kupitia M-Pesa Push. Kuanzia sasa, wateja wote wanaoweka pesa kupitia M-Pesa Push watapokea bonus ya 20% ya kiasi walichoweka kwa mara ya kwanza kila siku. Ofa hii itawapa wateja hadi shilingi 50,000 kwa siku na itadumu hadi Desemba 31,…