
KOCHA AZAM FC:TUTAREJESHA BURUDANI MBELE YA NAMUNGO
MACHI 16,2022 leo kikosi cha Namungo FC kitawakaribisha Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Ilulu, Lindi. Huu ni mchezo wa mzunguko wa pili ambao unatarajiwa kuchezwa majira ya saa 10:00 jioni ukisubiriwa kwa shauku na mashabiki wa timu zote hizo kubwa Bongo. Kwa mujibu wa Kocha Mkuu wa Azam…