
KAZI HAITAKUWA NDOGO U 17,TIMU YA TAIFA YA WANAWAKE TUNAWAAMINI
USHINDANI unazidi kuwa mkubwa kila iitwapo leo hivyo nafasi inapopatikana ni lazima kufanya kweli bila kuogopa. Kila kitu kinawezekana na muda wa kufanya hivyo ni sasa baada ya kuwa kwenye kazi ngumu kutimiza kwenye mechi ambazo walianza awali kucheza na kupata ushindi. Ni timu ya Taifa ya Wasichana U 17 ambayo inapeperusha bendera ya Tanzania…