
MGUNDA KICHEKO SIMBA, YANGA SC YATEGUA MITEGO YA AL HILAL
MGUNDA kicheko Simba, Yanga SC yategua mitego ya Al Hilal ndani ya Spoti Xtra Jumanne.
MGUNDA kicheko Simba, Yanga SC yategua mitego ya Al Hilal ndani ya Spoti Xtra Jumanne.
Baada ya Ligi nyingi kusimama sasa moto unaendelea tena wiki hii, ni Ligi ya Mabingwa Ulaya moto ni mkali kila timu inataka kuonesha ubabe kwa mwenzake, Na wewe una nafasi ya kuonesha ubabe wako kwa kuweka ubashiri kwenye mechi hizi kupitia Meridianbet. Mtoto hatumwi dukani, ni mapema tu moto utawka kwenye dimba la Allianz…
MZAWA Feisal Salum mali ya Yanga amefikisha jumla ya mabao matatu ndani ya kikosi hicho akiwa sawa na Fiston Mayele raia wa DR Congo. Bao la tatu Fei Tofo amefunga leo Oktoba 3,2022 kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Ruvu Shooting, Uwanja wa Mkapa. Baada ya dakika 90 uao umesoma Ruvu Shooting 1-2 Yanga ambapo…
Najua ulikuwa unawaza ni wapi utaipata Kasino karibu yako, basi Meridianbet wamejibu kuhusu mawazo yako,mchongo uko hivi ukiwa na pesa yako unaweza kucheza Kasino kupitia mashine za Slot kwenye maduka ya Meridianbet yaliyopo mitaani, cha kufanya tembelea kwenye maduka hayo uweze kufurahia Kasino yenye bonasi kubwa. Kwenye maduka ya Meridianbet utakutana na mashine “Slots” za…
MILIONI 300 zinatajwa kutumika kwa ajili ya ujenzi wa Uwanja wa Mo Simba Arena kwa ajili ya ujenzi wa ukuta
MECHI za Ligi Kuu Bara leo Oktoba 3,2022 ikiwa ni msimu wa 2022/23 Coastal Union ya Tanga itamenyana na Kagera Sugar saa 10:00 jioni. Ruvu Shooting v Yanga, saa 12:15 jioni Azam FC v Singida Big Stars, saa 2:15 usiku.
MSHAMBULIAJI wa Simba, Moses Phiri ametangazwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora waMashabiki ndani ya mwezi Septemba. Ni mashabiki ambao walikuwa wanachagua kwa kupiga kura kupitia mitandao ya kijamii ambapo ni Phiri alikuwa ameingia fainali na Mzamiru Yassin pamoja na Clatous Chama kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Profile Simba Fans…
LICHA ya kupata bao la kuongoza mapema kupitia kwa mzawa Nickosn Kibabage ilikuwa ngumu kwa Mtiwa Sugar kusepa na pointi tatu za Mbeya City. Mchezo huo ulichezwa Uwanja wa Manungu Oktoba 2,2022 na bao ulisoma Mtibwa Sugar 2-2 Mbeya City. Kwa matokeo hayo Mbeya City ni wamepindua meza kibabe. Bao la mapema kwa Mtibwa Sugar…
ZAKARIA Thabit, Ofisa Habari wa Azam FC amebainisha kwamba wachezaji wana machungu aada ya kupoteza mchezo wao dhidi ya Tanzania Prisons uliochezwa Uwanja wa Sokoine, Ijumaa ya Septemba 30,2022 kwa kufungwa bao 1-0 hivyo hasira zinakwenda kwenye mchezo dhidi ya Singida Big Stars
DAKIKA 540 za maajabu ya Mgunda Simba, Yanga v Ruvu Shooting, huku rekodi, kule kisasi litakufa jitu ndani ya Championi Jumatatu
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema ushindi ambao wameupata kwenye mchezo dhidi ya Dodoma Jiji umetokana na kazi kubwa ya wachezaji wakeo uwanjani. Baada ya dakika 90, ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba 3-0 Dodoma Jiji na kuifanya timu hiyo kufikisha pointi 13 na kuongoza ligi. Bao la ufunguzi lilifungwa na Abdallah Shaibu,’Ninja’…
YANGA wanaongoza kuwa na safu matata ya ushambuliaji wakiwa wamefunga mabao 9 kwenye mechi nne za ligi huku Simba wakiwa wamefunga mabao 8. Kwa Yanga ni Fiston Mayele na kwa Simba ni Moses Phiri wanaongoza kwa kufunga mabao mengi ambayo ni matatumatatu, yale ya kufungwa kwa Yanga ni mabao matatu na Simba wamefungwa mabao mawili….
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kurejea kwa kiungo wake wa kazi Sadio Kanoute kwenye kikosi hicho kunaongeza uwanda mkubwa wa kuchagua viungo ambao anawahitaji. Kanoute raia wa Mali ambaye ni kiungo mgumu kwenye eneo la ukabaji sifa yake kuu ni kutembeza mikato ya kimyakimya alikosekana kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Tanzania…
KOCHA msaidizi wa Dodoma Jiji, Mohamed ameweka wazi kuwa watatumia mechi zilizopita za Simba kuikabili timu hiyo kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji
DAKIKA 180 ambazo Simba imezitumia kwenye mechi za kirafiki Zanzibar zimewapa nguvu ya kupambana dhidi ya Dodoma Jiji. Leo kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda kitatupa kete yake kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Dodoma Jiji unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Mgunda amesema kuwa mechi mbili ambazo wamecheza Zanzibar zinawapa nguvu kwa ajili…
KIUNGO wa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi raia wa Tunisia, Stephane Aziz KI anatarajiwa kuukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting. Nyota huyo hayupo kambini na wachezaji wengine ambao wanajiaandaa na mechi hizo kutokana na kuwa kwenye majukumu ya timu ya taifa ya Burkina Faso. Anatarajiwa kuripoti kambini siku ya…
Hauhitaji kuwa gwiji wa ubashiri kushinda beti! Watu wengi Duniani wamekuwa wakipenda kubashiri mechi mbalimbali na kujiweka katika nafasi ya kushinda pesa kubwa, ambazo wakati mwingine hubadilisha kabisa maisha yao. Lakini je ulishawahi kubashiri kwa kutumia kitochi au bila bando? Tunaweza kusema kwa simu ya batani, kwa kitochi, au kiswaswadu uukiwa huru bila kutumia Intaneti? …