
KADI NYEKUNDU YAWAVURUGA NAMUNGO
KOCHA Mkuu wa Namungo, Juma Mgunda ameweka wazi kuwa kilichowavuruga kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba uliochezwa Uwanja wa Majaliwa, Februari 19 2025. Ni Derric Mukombozi nyota wa Namungo alionyeshwa kadi nyekundu dakika ya 32 hali iliyopelekea wacheze dakika 58 wakiwa pungufu mbele ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu,…