![CHAMA CHA SOKA CHA VILABU AFRIKA [ACA] KIMESAINI MKATABA WA USHIRIKIANO NA CAF](https://salehjembe.co.tz/wp-content/uploads/2025/03/yangasc__2025-03-11T162637.000Z-600x400.jpg)
CHAMA CHA SOKA CHA VILABU AFRIKA [ACA] KIMESAINI MKATABA WA USHIRIKIANO NA CAF
Rasmi leo Chama Cha Soka cha vilabu Afrika [ACA] chini ya Mwenyekiti wake Eng. Hersi Said kimesaini Mkataba wa ushirikiano na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika [CAF]. Hafla hii imefanyika kwenye mji wa Cairo, Misri na kuhudhuriwa na Viongozi wa juu wa Taasisi hizi mbili, Eng Hersi na Rais wa CAF, Dkt. Patrice Motsepe.