SIMBA SC KUFANYA KWELI USAJILI

UONGOZI wa Simba SC umebainisha kwamba utafanya kweli kwenye usajili hivyo mashabiki wasiwe na presha mipango inaendelea.  Ikumbukwe kwamba timu hiyo msimu wa 2024/25 ilikosa mataji yote iliyokuwa inayapambania jambo ambalo linawafanya waje na hasira zaidi. Miongoni mwa wachezaji ambao wanatajwa kuwa katika rada za Simba SC ni Feisal Salum wa Azam FC. Kwenye ligi…

Read More

YANGA SC YATEMBEZA MKWARA WA MAANA

UONGOZI wa Yanga SC umeweka wazi kwamba kazi inaanza kwenye usajili kwa kuwa kuna wachezaji wengine wa maana watatambulishwa hivi karibuni. Mpango mkubwa wa Yanga SC ulikuwa ni kufungua ukurasa Julai 22 kutambulisha wachezaji wapya ila ngoma ilibadilishwa hewani baada ya kufungua ukurasa rasmi Julai 18. Ni Moussa Conte alitambulishwa na Yanga SC ikiwa ni…

Read More

YANGA SC YAMTAMBULISHA NYOTA WA KISHINDO CHA BILIONI 87

Yanga SC imekamilisha usajili wa kiungo wa CS Sfaxien ya Tunisia Balla Conte akiwa ni mchezaji wa kwanza kutambulishwa na mabingwa hao watetezi. Conte rasmi ni njano na kijani baada ya kutambulishwa na Yanga SC, Julai 18 2025 tayari kwa maandalizi ya msimu wa 2025/26. Ikumbukwe kwamba nyota huyo alikuwa anatajwa kuwa katika rada za…

Read More

SIMBA SC KUFANYA USAJILI MKUBWA KUELEKEA MSIMU MPYA

KUELEKEA msimu mpya wa 2025/26, Simba SC wamebainisha kuwa watafanya usajili mkubwa kupata timu imara ya ushindani kitaifa na kimataifa. Ipo wazi kuwa Aishi Manula ambaye ni kipa huyu atakuwa ndani ya Azam FC, Omary Omary amepelekwa kwa mkopo Mashujaa FC, Fabrince Ngoma mkataba wake umeisha, Kelvin Kijili atakuwa ndani ya Singida Black Stars ni…

Read More

FURSA YA KUTOKA NDOTO HADI KUIMILIKI SAMSUNG A25

Nilikuwa nimezoea kuona matangazo mengi ya promosheni mitandaoni. Kwa kweli, sikuwahi kuyachukulia kwa uzito. Lakini mwezi huu wa Julai, kitu kimoja kimenivutia, Meridianbet wametangaza zawadi ya simu mpya aina ya Samsung A25 kwa wateja wanaojiunga na kucheza michezo yao. Hapo ndipo nilipoamua kusema, “Kwanini nisijaribu?” Safari yangu imeanza kwa kusajili akaunti yangu kupitia app ya…

Read More

EUROPA LEAGUE NA CONFERENCE LEAGUE KUKUPATIA MSHIKO LEO

Huku wenzeko wakishinda Mamilioni na Meridianbet, wewe una nafasi ya kuondoka na mshiko wako mapema tuu. Jisajili sasa na ufurahie maokoto yako kwa dau dogo tuu. FC Sheriff Tiraspol atakuwa ugenini kumenyana dhidi ya FC Prishtina ambao mechi ya kwanza walishinda kwa kishindo. Je wenyeji leo wanaweza kupindua meza kwa ODDS ya 2.95 kwa 2.30….

Read More

AUCHO ISHU YAKE NA YANGA SC IPO HIVI

KHALID Aucho kiungo mkabaji wa Yanga SC huenda akaongeza mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia timu hiyo yenye maskani yake Jangwani. Yanga SC ni mabingwa wa ligi msimu wa 2024/25 na miongoni mwa wachezaji ambao walikuwa kwenye kikosi cha kwanza ni Aucho. Baada ya mechi 30 ambazo ni dakika 2,700, Aucho alicheza mechi 22 akikomba dakika…

Read More

FADLU DAVIDS KAZI ANAYO SIMBA SC

FADLU Davids, Kocha Mkuu wa Simba SC amekabidhiwa rungu la kufanya maamuzi kwa wachezaji ambao wanapaswa kuondoka katika kikosi hicho na wale ambao watabaki kwa msimu wa 2025/26. Miongoni mwa wachezaji ambao Fadlu amebainisha kwamba anahitaji wabaki inaelezwa ni beki Mohamed Hussen ambaye mkataba wake umeisha akiwa anatajwa kuwa katika rada za Yanga SC. Kocha…

Read More

CHEZA WIN&GO BILA HOFU, PATA 10% YA DAU LAKO

Huu ni mwezi wa kujikusanyia pesa tu, yaani ukiwa na Meridianbet basi jua umechagua kushinda kila siku kwani wanakutafutia kila namna ya kuhakikisha unanufaika kwa kuwa mwanafamilia wa kampuni hii namba moja ya ubashiri nchini. Na sasa wamekuja na mpya kabisa, Cheza Win&Go bila hofu yeyote ya kupoteza na endapo itatokea umepoteza tiketi yako unapatiwa…

Read More

MWAMBA HUYU WA KAZI KUSAINI YANGA SC

INAELEZWA kuwa Celestin Ecua ambaye ni kiungo wa Zoman FC huenda akasaini mkataba wa miaka miwili kuwa katika kikosi cha mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC. Yanga SC baada ya mechi 30 ambazo ni dakika 2,700 walikusanya jumla ya pointi 82 ikiwaacha watani zao wa jadi Simba SC kwa tofauti ya pointi…

Read More

FEISAL ATACHEZA TIMU HII 2025/26

FEISAL Salum kiungo mshambuliaji wa Azam FC kuna asilimia ndogo kuondoka kwenye viunga hivyo kutokana na dau ambalo mabosi wamemuongezea kuelekea msimu wa 2025/25. Taarifa zilikuwa zinaeleza kuwa kiungo huyo asilimia kubwa ataondoka hapo na timu ambayo ilikuwa inatajwa kwa ukaribu ilikuwa ni Simba SC. Mkataba wake na Azam FC ni mwaka mmoja umebaki hivyo…

Read More