>

YANGA, SIMBA MZIGONI LEO LIGI KUU

LIGI Kuu ya kabumbu Tanzania bara inaendelea tena leo Septemba 29 kwa mechi nne kwenye viwanja mbalimbali ambapo Mnyama, Simba Sc akiwa ugenini kwenye mashamba ya mizabibu wakiikabili Dodoma Jiji Fc. Mchezo huo wa raundi ya nne wa Ligi hiyo utapigwa katika dimba la Jamhuri Dodoma mishale ya saa 12:30 jioni huku Mnyama akiangazia kuendelea…

Read More