𝗖𝗔𝗙𝗖𝗟 Kikosi cha Yanga kitaingia Zanzibar Alhamisi wiki hii kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya CBE kutoka Ethiopia.
Afisa habari wa timu hiyo Ally Kamwe tayari yuko kwenye dimba la Amaan visiwani humo na hapa anaeleza ratiba kamili ya hamasa ikiwemo dua maalum ya kuwaombea waliotangulia mbele ya haki.